Core Security
- Admin login
- Role permissions
- User accounts
- Audit ready
Mfumo wa kisasa wa shule wenye muonekano wa kimataifa kwa ajili ya kusimamia wanafunzi, walimu, matokeo, ada, mahudhurio, mawasiliano, ripoti, portals na taarifa za shule kwa urahisi zaidi.
School operations
Professional modules
Online access
Installable app
Kila module ina card yake, icons, actions, hover effects na layout inayofanya mfumo uonekane wa kisasa zaidi.
Mpangilio huu unarahisisha matumizi kwa admin, walimu, wanafunzi na wazazi.
Weka taarifa za shule, madarasa, masomo na watumiaji.
Sajili wanafunzi, walimu, ada, mitihani na ratiba.
Ingiza marks, mahudhurio, malipo, matangazo na resources.
Pata report cards, charts, balances na taarifa za shule.
Fungua dashboard na uanze kusimamia taarifa za shule, matokeo, ada, mahudhurio, mawasiliano na ripoti.